Duration 3:17

HURUMA.. Bondia amwaga machozi | Ahisi kuonewa dhidi ya 'Ibrahim Class'

1 860 watched
0
9
Published 29 May 2021

Bondia kutoka Afrika ya Kusini Sibusiso Zingange amemwaga machozi baada ya mpambanowake dhidi ya Ibrahimu Class bondia wa Tanzania , hii ni kufuatia kutangazwa kwa matokeo ya kushindwa dhidi ya Ibrahim Class na kusika akisema matokeo hayakukuwa na usawa.

Category

Show more

Comments - 5