Duration 10:14

DODOMA SASA KAMA ULAYA, SERIKALI YA MAMA SAMIA PESA KIDOGO UNAISHI KISHUA

19 701 watched
0
125
Published 5 May 2021

Katika kukabiliana na changamoto ya uhaba wa nyumba za makazi kufuatia Serikali kuhamia makao makuu ya nchi Dodoma, Shirika la nyumba la taifa NHC imejizatiti katika kumaliza changamoto hiyo kwa kujenga nyumba 1000 zitakazogharimu zaidi ya shilingi bilioni 71 ikiwa ni sehemu ya fedha ya mkopo wa masharti nafuu kutoka Serikalini. Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Dr. Maulid Banyani amesema hayo wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa nyumba hizo ambapo amesema kwa awamu ya kwanza tayari wamekwishajenga nyumba mia nne katika eneo la Chamwino Ikulu na Iyumbu Jijini Dodoma.

Category

Show more

Comments - 71