Duration 8:16

MJADALA WA KUMPA PESA MWANAMKE WAMFIKIA MWIJAKU, KAFUNGUKA BUSARA ZAKE MWANAMKE AKUOMBE ANACHOTAKA

10 220 watched
0
117
Published 5 Feb 2021

Baada ya kuepo mjadala mtandaoni kuhusu kumpa hela (matunzo) mwanamke unayekuwa naye kwenye mahusiano, ambapo wapo wanaodai siyo lazima kumpa mwanamke hela huku wengine wakisema ni wajibu wa lazima mwanaume kumpa mwanamke wake hela. Swala limemfikia Mwijaku na hapa amefunguka ishu hiyo...PLAY kusikiliza.

Category

Show more

Comments - 87
  • @
    @shantalismailhassan98783 years ago Uko sahihi mwijaku. Watu wengi wanaleta uhuni tu yote ni kutokuwa na elimu ya kutosha. 2
  • @
    @sharifaabdullah68253 years ago Miitano' tena mwijaku nakupenda bure walah. 3
  • @
    @lissadanford71713 years ago Umenena vyema sana bro waambie wanaokurupuka kuja kuongea utopolo. 1
  • @
    @mamawadudu483 years ago Kweli kabisa. Wanawake tusikubari kuchezewa. Na tusichezeane kabisa na tusipeane hela kabisa. Hakuna kutoa starehe kabla ya ndoa hakuna kuombana. N mwanaume ukioa ndio uhudumie na ukubari kuombwa hela. Mwanaume usiombe mzigo kabla ya ndoa hutaombwa hela. ...Expand 3
  • @
    @aloycejeremiah71373 years ago Dah jamaa anatema madini vijana tujifunze kitu. 3
  • @
    @riodeclan55043 years ago Wa kutoa na watoe ambao ni members ubahili club frxh 2. 4
  • @
    @hawaabdallah47823 years ago Mwijaku nakupenda kutoka uvunguni mwa moyo wangu love you.
  • @
    @junuferjinu14443 years ago Yani haya ndoyakuongea ww na masudi naomba serekali iwafikirie kuusu sanamu. 5
  • @
    @OnlyRuky3 years ago Uwi kachomoa betri kumbe kp ana wake 2. 3
  • @
    @kibongobongo46083 years ago Mwijaku njoo huku uone vile umewafurahisha wanawake. 1
  • @
    @farijala13 years ago Wewe mwijaku umedandia bila kuelewa. Alichokisema bwana max ni kuhusu hawara hajasema mke. 1
  • @
    @aishasaid67493 years ago Waambie haoo mwanamke ni wakupewa bwana. 3
  • @
    @kebekebee3 years ago Hatukatai majukhum ila swala la haki sawa lifutwe. 1
  • @
    @upendowakwelinaamani10603 years ago Mwijaku sauti inatosha baba wataelewa tu!
  • @
    @zainabkazige73883 years ago Mwijaku nimekupenda bure leo, uanaume ni majukumu sisi ni wasaidizi wenu nyieni kusaidiana ila mwanaume ndo kichwa, mpenzi wako asikuombe hela akamuombe nani akipata shida? 6
  • @
    @rose_Winchester863 years ago Waambie waelewe wengi wao hao hawajielewi. Mwanamke anahitaji financial security. 5
  • @
    @salmaathuman91563 years ago Mwanamke anahitaji matunzo na sio unamchaza kujifanya unampenda yaan haujulikani kama una mwanaume au lah sasa nisipokuomba ww mpenzi au mume wangu nimuombe nani ahsante mwijaku.
  • @
    @Emedroadtocanada3 years ago Kuna jitu huku mtaani kwetu linasema et natafuta mwanamke mwenye pesa ili anisaidie majukumu ya nyumbani jamani sikapotea huyu. 5
  • @
    @nicholauslaurent54543 years ago Kwa hy tuache kutafuta pesa tuwe tunawawaza wanawake, yan uchanganyikiwe kisa umeoa, yy ndo utaratibu wake sio wa kwangu!
  • @
    @abdulsimba70523 years ago Ilo swala la mwanamke kua anafanya kaz afu kusema ile hela hainihusu mm natakiwa nimpe huduma zote so kwer mm kukubar mke afanye kaz inamana kuna huduma . ...Expand
  • @
    @mabakoaisha24733 years ago Muijako nakuaka nakukubali ila apo une faili kabisa muanamuke ni kidudu kibaya sana utakutana analiwa na wezako broth aca naye.
  • @
    @ommietrendz71753 years ago Mtu ukioa unatoa kawaida mbona
    issue ni hawa slayqueen wetu mjini na ndio wanaoongea walioolewa hawaongei.
    1
  • @
    @issanicholaus63043 years ago Nalo ili halijielewi love is not about. 1
  • @
    @hasanrashid12443 years ago We unafikili ukiwatetea ivyo ndo watakupenda. Awana shuklani ao. We jifanye unaudumia sana na bado unagongewa tu. Alafu. Wanawake waliosapoti ndo hao wabinafsi sana ela yako itumike nyumbani. Ya kwake akajenge kwao. 1
  • @
    @RamazaniMulongeca3 years ago Am the s Best , i f you disagree with that, comment s on all YouTube channels you watch.
    INTERVIEWS ARE AWESOME
    ..
  • @
    @aishasaid67493 years ago Ukiona mwanamke anakuomba pesa faster bas ujue na wew umemuomba mapenzi mapema sasa huaga tunasema ukitaka kumjua mwanaume sahihi kwako muombe pesa kam . ...Expand
  • @
    @onesmoretz27853 years ago Max kaongelea mpenz na sio mke tuelewane apo. 1
  • @
    @manungda99553 years ago Angalia pua lake kama mkia wa ngiri pori, una mitizamo mbofu kama wa shabiki wa yanga. Mwanamke wa kuishi naye kwa akili huyu siyo mwanamke.
  • @
    @gasparmpoma38603 years ago Ambaye anataka nimpe hela acomment hapa. 1
  • @
    @mamawadudu483 years ago Kweli kabisa. Wanawake tusikubari kuchezewa. Na tusichezeane kabisa na tusipeane hela kabisa. Hakuna kutoa starehe kabla ya ndoa hakuna kuombana. N mwanaume ukioa ndio uhudumie na ukubari kuombwa hela. Mwanaume usiombe mzigo kabla ya ndoa hutaombwa hela. ...Expand 3
  • @
    @abdulsimba70523 years ago Ilo swala la mwanamke kua anafanya kaz afu kusema ile hela hainihusu mm natakiwa nimpe huduma zote so kwer mm kukubar mke afanye kaz inamana kuna huduma . ...Expand
  • @
    @RamazaniMulongeca3 years ago Am the s Best , i f you disagree with that, comment s on all YouTube channels you watch.
    INTERVIEWS ARE AWESOME
    ..
  • @
    @aishasaid67493 years ago Ukiona mwanamke anakuomba pesa faster bas ujue na wew umemuomba mapenzi mapema sasa huaga tunasema ukitaka kumjua mwanaume sahihi kwako muombe pesa kam . ...Expand