Leo Desemba 26, 2021, Mpenja TV tupo Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kukuletea updates zote za mchezo mkali wa ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Yanga Sc 'WAZEE WA PIRA KUNOGA' na Biashara United 'WANAJESHI WA MPAKANI'
Tafadhali kaa karibu nasi, tuko hapa kukupasha kila kitu.
#YangaScVsBiasharaUnited #YangaSc #BiasharaUnited #BenjaminMkapa #NBCPremierLeague #MpenjaTV