Duration 9:11

FAHAMU MAANA YA HERUFI ZA MAJINA YAKO (PART 1)

14 308 watched
0
107
Published 19 Oct 2020

jina linaloanza na herufi ”A” ni Watu wanaopenda mambo makubwa, Wanajiamini, na wenye uwezo wa kutimiza malengo yao, Ni watu wenye tahadhari Katika kila jambo, Wachangamfu na wanaopenda Matukio. Wanapenda kuheshimiwa, Wanapenda mamlaka, Wana kiburi na ni Watu wenye hasira. B; Inawakilisha Kazi, Pesa, Mapenzi, Ujenzi. Wenye jina linaloanza na herufi “B” ni Watu Wakarimu , Waaminifu na Wenye kupenda kazi. Ni watu Jasiri, Shujaa na Wakatili katika vita au pale wanapotaka kulinda vyake au vilivyo katika himaya au Mamlaka yao. C; Inawakilisha Vurugu, Ndugu, Kuchanganyikiwa. Wenye jina linaloanza na herufi “C” ni Watu wa kubadilika badilika, Washindani, na hupenda kupigania Malengo yao wanayoyapenda. Ni watu Wabunifu, na wanaopenda Mawasiliano.

Category

Show more

Comments - 6