Mkoa wa singida unaendelea na shughuli mbalimbali kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa tanganyika ( Tanzania
ofisi ya muu wa mkoa ikiwakilishwa na RAS Mwalimu Doroth Mwaluko imetembelea maeneo ya kihistoria ikiwemo nyumba aliyolala mwalimu Nyerere wakati wa harakati za uhuru, kambi za wageruman , eneo walipokuwa wanyongewa watumwa , na makaburi ya jeshi na watumishi wa wagerumani
#miaka60yauhuru
#tanzaniaimarakaziiendelee
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for DUUH KUMBE NYERERE ALIFICHWA SINGIDA HARAKATI ZA UHURU: