--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Yanga #Kikwete
@clementhiddi14864 years agoSafi sana brother, jokes aside, you' ve talked sensibly as a sportsperson. 1
@
@miriam57354 years agoWa pili jamani like zangu, yanga baba lao. 19
@
@hosiananziku22614 years agoSafi sana mwenyezi mungu ajalie afya njema mume kuwa mfano kuigwa tutafika tu. Hatunatimu kuipenda tumeipenda wenyewe hatuna timu nyingine yanga mbele nyuma mwiko. 4
@
@husseinmohdbulushi17244 years agoYanga mnatisha simba wakae chonjo.
@
@ramadhanimahongole87644 years agoDaah isee me ni simba lakin maneno ya huyu jamaa nimefurahishwa nayo kwani ameongea kiungwana sana. 4
@
@hamzashui5764 years agoWe mwenyewe unaongea umepoa hivyo hahahaha.
@
@henedferej22014 years agoHongereni mlibeba vzr majini yenu na tumeyaona naona mmeshakuwa mabingwa.
@
@aboyfromkilosa47144 years agoWakifungwa mtwara watapaona kama marekani vile daah sema apo ndo utofaut wa anayeishi kijijini na mjini unaoneka vidume vya mjini vimeshazubaa na daladala umpe baiskeli ata mkulanga hafiki.
@
@fahadfahmy4 years agoSafari kama hiyo halafu unakuja kufungwa sita, lazima wakati wakurudi utumie ndege. 1
@
@vonexmobile91164 years agoMkishapigwa 5-0 ndo utakubali mko baridi. 4
@
@samsonvyunga23704 years agoSiku yaja yanga mtalia na kusaga menoo. 1
@
@abdalahfarida20744 years agoSimba mtori tu hakuna kitu mbele ya umoja wa wananchi. Wafadhili wa yanga jitokezeni kikamilifu tuchukue ubingwa 2020. Timu ni nzuri pesa ndio hakuna.
@
@hamisiramadhani69254 years agoMkipigwa 6-0. Hizo baiskel mtaziacha dar. 3
@
@aboyfromkilosa47144 years agoIla huyu jamaa mtwara kahamia tu maana rafudhi yake sio ya mtwara. 1
@
@hamisiramadhani69254 years agoHawa wametoka vijijini wamekimbia familia zao, maisha magumu.
@
@ibrahimkadibo8104 years agoSimba ni mnyama na anajulikana, hilo jina la yanga ni kitu gani ni mdudu mjusi kimba au kigani.
@
@ibrahimkadibo8104 years agoHiyo picha ndo ukweli wenyewe. Lkn gsm ni kisingizio.
@
@ismailkasim79604 years agoKama utapata na pumbu za manara nitunzie. 2
@
@hamisiramadhani69254 years agoWaongo wakubwa, nyie wamakonde ni wazushi, mlipanda basi. Hili tukunyema haliwezi kuendesha baiskeli,
Related videos for Waliotoka Mtwara mpaka Dar kwa baiskeli wamjibu Kikwete | Tumetumwa kichwa, mkia, utumbo na mapupu:
simba wakae chonjo.
yenu na tumeyaona naona mmeshakuwa mabingwa.