Uzinduzi wa DANCE KITAA 2017 #HomeKwanza ulifanyika December 03, Katika viwanja vya Basketball MirongoSportCentre. Kama haukubahatika kufika jumapili hiyo basi Tukutane kwa jumapili hii. Na tujiandae kwa HOME KWANZA FESTIVAL ambapo kutakuwa na Entertainment kibao Kama: Fainal za DanceKitaa2017| Burudani kutoka kwa wasanii 25| Michezo ya watoto| Food n Drinks.
DON'T MISS THIS DECEMBER.
Category
Show more
Comments - 2
Related videos for WhiteFish | Dance Kitaa 2017 | HomeKwanza: