Duration 5:32

MAGOLI: MBEYA CITY 1-2 SIMBA SC (TPL - )

420 830 watched
0
1.2 K
Published 3 May 2019

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ilopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Wenyeji Mbeya City ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 22 kupitia kwa Iddy Selemani ‘Naldo’ kabla ya Simba kufanya mabadiliko na kurejea mchezoni kipindi cha pili wakipata mabao mawili kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 68 na Meddie Kagere dakika ya 85. Matokeo hayo yameifanya Simba ifikishe pointi 75 katika michezo 29 iliyocheza ikiwa na pointi tano nyuma ya wapinzani wao wa jadi Yanga SC wenye pointi 80 katika mechi 34 huku Azam wakiendelea kubaki nafasi ya tatu na pointi zao 66.

Category

Show more

Comments - 246
  • @
    @wilsonkimaro63755 years ago Mungu mwema sana, namshukuru Mungu kwa ushindi aliotupa sisi wana Simba dhidi ya Mbeya city, Namuomba Mungu michezo ijayo tushinde yote, kama nawewe unaiombea Simba mema just like this page 21
  • @
    @babdulla37795 years ago Baraka Mpenja ni mtangazaji Number 1 Tanzania anaekubaliana na mimi like zenu hapa 119
  • @
    @evianjames885 years ago This is__________! km nawewe unajickia raha km mm gonga like yko# simba nguvu moja 123
  • @
    @allyiddkingakinga95835 years ago Kuna MTU anateseka Kama Hauteseki Weka Like Hapa Twende Sawa😁😁 139
  • @
    @mbwanarajab72385 years ago Kama unaamini vyura wanateseka sana gonga like twende pamoja 57
  • @
    @hagai40745 years ago Simba🔥🔥 iyoo ndo mbayaa iooo😜 piga like kama ww chama la simba 148
  • @
    @obadiasylvester85095 years ago Baraka mpenjaa we mh... Et katikaa nafaaas taaam goal taaaam kiungoo mtaaaaaaa anawachubua chuubuuuu na waooo wanachubukaaa chuuubuu dooooh hatareeee 20
  • @
    @yuzzomastory1625 years ago Good players,coach and management enable Simba to win their games. 6
  • @
    @bujiiclassic19645 years ago Kama umesikia mtangazaji anasema Nafas tamu kiungo mtamu goli tamu .....
    Tamu
    Utamu korea gonga like twende sawa
    40
  • @
    @ibrahimjuma83495 years ago Mpeja bwana hivi kwann walipo chenza na as vita hukutangaza jaman unatisha kaka 9
  • @
    @sulleysonsulley41605 years ago Kama unamkubali Mtangazaji Mpenja gonga like 33
  • @
    @judithpaul90135 years ago Hahaha kuna jinga mmja namuona anateseka... endelea kuteseka, daima... 23
  • @
    @farajaluvanda12425 years ago Hata wakisema tunabebwa lakini na pia kiwango chetu ni halisi. Hata vyura fc hawatuwezi. Hata tuamshwe usiku wa manane hawana ubavu wa kutufunga ng'ooooo. 30
  • @
    @franknoya86295 years ago Mtangazaj saaf ,,,mpra saaf kwa matokeo saaf ,,,this is SIMBA 4
  • @
    @fabidisanto81275 years ago Wangap mpenja ana wapa raha kma anakupa raha npe like 122
  • @
    @manyaramrema65315 years ago Watu tumeshakula pasaka ila kuna watu bado wapo kwaresma yaani bado wapo kwenye mateso! Mtateseka sana 19
  • @
    @fedrickmaduva28935 years ago oooooh yes ooooooh yes kuna mtu anateseka kuna mtu anateseka 1
  • @
    @adilimbuba70445 years ago Like zenu wanasimba maharage Mbeya maji Mara moja tunasonga mbele 20
  • @
    @edwardgwaspika49435 years ago Wanamsimbaziambo ni motoooo! Pamoja na kubana ratiba vijana wanasongaaaaa! 13
  • @
    @saidalumuli49385 years ago Kila Mtu ashinde mechi zake mpaka (omba fc) wataelewa tuu 8
  • @
    @teklamahenge52125 years ago Rashid juma Wewe ni noma hatari kubwa Sana pongezi kwako kwa uwezo wako binfsi big up
  • @
    @farajaluvanda12425 years ago TUNA BEBWA HALAFU MPIRA TUNAJUA KUDADADEKI NANI ANABISHA??? 5
  • @
    @issaally64235 years ago Kama ninyi mlivyolewa na pesa za manji mkijua ni baba enu sasa zinawatokea puani mkitembeza hakuli....kama maskini 13
  • @
    @mr.agastrobert91575 years ago Hvi tunaongaliaga YouTube magori ndii AMBAO hatujaangalia game? 8
  • @
    @esthermwangeni95505 years ago Hiyo ndo simbaaaa mambo ni fireeeeee wanaliaaaa poleeee
  • @
    @ayoubkabono35035 years ago kama una mkubali mtangazaji gonga like hapa 1
  • @
    @ishaniramadhani87105 years ago KAMA umesikia kununa haisaidi like hapa 19
  • @
    @ayubunjiwa11195 years ago Hapo Mbeya tunaondoka na point zote 6, refa ametunyima penalt ya wazi,tutatangaza ubingwa Kabla ya mechi 3 3
  • @
    @norascombedule10575 years ago daaah nmependa Sana furaha pale uwanjani sokoine
  • @
    @aliyahmedahmed5905 years ago Uwanja mbovu haufai hata kukimbiza Farasi sio kucheza soka 3
  • @
    @salvatorymogesi64765 years ago Beki ya Simba haiko sawa sana bhana, wanamwacha mtu ana-drible mpira kwenda golini kupiga kwa uhuru tu. Lazima kujirekebisha kama tunataka kwenda mbali.
    Hongera sana Simba.
    1
  • @
    @rabiusmagafu50565 years ago sometime zimbwe anafanya makosa ya ovyo sana,arekebishe makosa yake,awe anaclear mipira vizuri 2
  • @
    @jameaseyohana66675 years ago Mohammed Hussein my favorite player!!! ....halafu dizaini kama free kick iliingia moja kwa moja.
  • @
    @azizimuhibu77715 years ago Kipolo cha mbeya kimeliwa na parachichi,,, 2
  • @
    @ramadhanmohamed88515 years ago Kwamara nyingine mabeki wa simba wananiboa tumeshinda lakini mmeniboa jaribuni kuzingatia muda na nafasi 1
  • @
    @kacherosimba57625 years ago Mpenja bana hahahaha tukutane talehe 6 kamwene hakuna siku naisubili kama talehe sita hahaha watu waka teseke 3
  • @
    @bonifacematoke15015 years ago Nafasi tam, kiungo mtam na goli tam ahahahahah anawachubua wanachubuka chubuuuuuuuuuu Salum Mpenja nakukubali sana ahahahaa 11
  • @
    @reyjosee93905 years ago ana anado sawaaaa badae Tukasikia mkude simbaaaaaaa Mara paaap Kagereeeeeeeeeee Tam koleaaa watu wamechubuka chubu
  • @
    @ferouzmasoud47414 years ago SIMBA hata alowe hawez kuwa Nyani 😂 😂 SIMBA baba lao 👊 👊 1
  • @
    @josephbonday85105 years ago Nimefurahi ila KWANINI DIDA KAVAA JEZI NAMBA 30?. WAKATI WALISEMA WANAIWEKA KAMA UKUMBUSHO KWA KUWA MAREHEMU MAFISANGO NDIO ALIKUWA AKIIVA 1
  • @
    @mudytondo31305 years ago mwanaume harari na njaa sena atacherewa kula 1
  • @
    @chachalucas28075 years ago Dah nawaza mechi kubwa tu Sevilla wahini tule kipolo cha kimataifa,hawa fyalafyala hawatuwezi😁 1
  • @
    @judithpaul90135 years ago Hahaha jogoo kashachinjwa ananywewa supu jioni hii... itabak kileleni 5
  • @
    @iamhasani_17975 years ago ktk nafasi tamu,kiungo mtamu,goli tamu,tamu kolea 1
  • @
    @amannicodemo94585 years ago Sio kweli unaotaaaa haaaahaaa
    Simba raha buanaaaaa
    Yaan ukicheza na simba hakikisha kipenga cha mwisho kmepgwa ndo useme umetoa sare au umeshinda maana dkk yeyt tunafungaga sisi
    1
  • @
    @sulleysonsulley41605 years ago Hawa makocha kila wakifungwa na simba wanalalamika , TFF inabidi iangalie hili ,sikuwafungiatu marefari , 1
  • @
    @wilsonwaziri96785 years ago Mmh kagere hapa haja telezea kweli kwa ganda la ndizi mbona km zimbwe ndio kafunga 5
  • @
    @allyjsimba42495 years ago Kweli mtoto awezi kuzuia aja zake ndio mana madukani kunauzwa peparz
  • @
    @ismailabdalah78475 years ago 0ngera makamana ila kocha wetu okwi awe ananza kila mechi
  • @
    @miriumzuberi52745 years ago Mhh!b mbona goli kama kafunga zimbwe jaman au vp
  • @
    @dadhaule70835 years ago hakuna kama baraka mpenja is a number one of this country
  • @
    @ramadhanmohamed76685 years ago Wazee Wa kununua lazima muwe mabingwa msimuhuu
  • @
    @oscarphilemon34175 years ago Daah mpenjaaa baba wanivunja mbavuuu mid,,,,,,,,,,,Nafasi tamuuu, kiungo mtamuuuuuu
  • @
    @ramadhaniselemanichalachal66225 years ago Vyura watapata tabu sana kwa Simba hii haimuachi mtu
  • @
    @azizaj7765 years ago Haya nyiye migongo wazi 🐸🐸🐸🐸nawasaidia , ukweli Simba wameshinda ila wamehonga ilikuwa simba wafungwe
    😅😅😅😅😅 ou mnaonaje enyi ombaomba football clab
    1