Duration 5:16

MOTO WA RC HOMERA, ASIMAMISHA BODI NA UONGOZI WOTE WA SHULE YA MSINGI UMOJA, AIRUDISHA SERIKALINI.

279 watched
0
1
Published 26 Jun 2021

Mkuun wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera amesimamisha Bodi na Uongozi wote wa Shule ya Msingi ya Mchepua wa Kingereza ya Ummoja kupisha uchunguzi kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha zaidi ya millioni 600 zinazo tolewa kama ada na wazazi. Homers ametoa maagizo hayo katika kikao cha pamoja kati ya watumishi wa shule hiyo ,wazazi na viongozi wa serikali baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wazazi kuhusu matumizi ya fedha. Homera ameagiza viongozi hao kwenda kuripoti polisi ili kutoa maelezo ya matumizi ya fedha hizo zaidi ya millioni 600. Katika hatua nyingine Homera ameirejesha shule hiyo chini ya uongozi wa Jiji la Mbeya ambapo awali shule hiyo ilikua chini ya umiliki wa wazazi wanao somesha watoto katika shule hiyo. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA BIG STAR TV ( +255 623 715536), ( +255 718 613054) ⚫️ Email: info@bigstarfm.co.tz ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ THE KICK NA ADVERA MABIKI : ⚫️ Subscribe Big Star TV

Category

Show more

Tags

Comments - 0