Duration 19:1

Mazoezi 4 ya TUMBO (YANAYOFANYA KAZI HARAKA) na jinsi ya KULA unapoanza MAZOEZI

23 394 watched
0
224
Published 5 May 2020

Katika video hii nimeonyesha jinsi ya kufanya mazoezi ya kupunguza TUMBO, mazoezi ya kupunguza unene, au nyama uzembe hatua kwa hatua ili kupata matokeo mazuri, pia nimeelezea vyakula muhimu kabla ya mazoezi, jinsi ya kula wakati na baada ya mazoezi, pamoja na program za kupunguza uzito. Natumaini video hii itawasaidia, ukiyapenda mazoezi usisahau kuacha comment yako, like na share video hii na watu wengine. Wageni wote karibuni hakikisha unasubscribe. #Mazoeziyakatatumbo #kitambi #unene #kupunguzauzitoharaka . Disclaimer: taarifa zote ni kutokana na experience yangu na animation ni za passion4proffesion.

Category

Show more

Comments - 52