Duration 15:43

MWAMPOSA NI MTUMISHI MWENZETU

963 watched
0
8
Published 3 Feb 2020

KAMA MWAMPOSA HAKUWAJIBIKA, AWAJIBISHWE KAMA WATUMISHI WA MUNGU HATUPASWI KUTUMIA KUTOJUA KWA WASHIRIKA TUWAFANYIE MAMBO HATARISHI KWA MAISHA YAO. HATA YESU ALIPOMWAMBIA PETRO ATEMBEE JUU YA MAJI, YESU ALIKUWEPO KUMSHIKA MKONO ASIZAME. Mathayo 14:28-31 [28]Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji. [29]Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akaenda kwa miguu juu ya maji, ili kumwendea Yesu. [30]Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe. [31]Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka? KWAMBA MWAMPOSA ALIWAAMBIA WAKANYAGE MAFUTA, ALIPASWA KUWAJIBIKA KUWASAIDIA WALE WALIOANGUKIWA NA KUZIBWA HEWA, AU WALIOTELEZA WAKAANGUKA NA KUUMIA. Kama Yesu hakumwacha Petro azame aseme shauri yake mwenye imani haba, vipi Mtume Mwamposa awaache watu 20 wafe mbele ya macho yake?

Category

Show more

Comments - 6