Duration 4:39

Awamu ya pili ya mchamko wa virusi vya korona

127 watched
0
0
Published 18 Oct 2020

KORONA BADO HATARI NCHINI Waziri wa Afya Mutahi Kagwe amebainisha kwamba taifa linapitia awamu ya pili ya mchamko wa virusi vya Korona. Waziri Kagwe anasema kuwa idadi ya maambukizi imeendelea kuongezeka haswa baada ya masharti kulegezwa. #TV47News

Category

Show more

Comments - 0