Duration 23:33

Sehemu 6 Za Kuzingatia Unapotaka Matokeo Makubwa Ya Tangazo Lako La Kulipia InstaGram

170 watched
0
2
Published 22 Feb 2021

Please watch: "SIRI HII YA UFANYAJI WA MATANGAZO INSTAGRAM HAUTAAMBIWA" /watch/AkAm4eQykrvym --~-- Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wafanyabiashara ambao wanafanya matangazo ya kulipia instagram bila matokeo makubwa na wengi wao wameshakata tamaa kabisa kwasababu wanaona wanapata hasara kila mara. Kupitia somo al siku ya leo utaenda kujifunza kwa undani sasa namna ya kuepuka kupoteza fedha zako kwenye tangazo lako la kulipia kwa sehemu hizi 6 ambazo nitaelekeza kuzizingatia kabla ya kwenda hewani. #instagramforbusiness #vutawateja #digitalmarketing

Category

Show more

Comments - 2