Duration 8:7

MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD YAFANYIKA KIMKOA WA SINGIDA KATIKA MSKITI WA MITUNDURUNI

967 watched
0
48
Published 18 Mar 2020

SHEKHER Mkuu wa mkoa wa DODOMA ametangaza kuwa ugonjwa wa CORONA umeshaingia nchini TANZANIA ameya sema hayo katika maulidi ya MTUME MUHAMMAD sw katika msikiti wa MITUNDURUNI na kuwahimiza watu kuwa wasafi muda wote, kunawa mikono kwa maji yanayo chirizika ilikusudi kupunguza kuenea kwa janga hili la kitaifa na dunia nzima.

Category

Show more

Comments - 2