Duration 11:27

NEC YAWEKA HADHARANI MAMBO 9 KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA

1 872 watched
0
10
Published 29 Jul 2020

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa mwongozo wenye mambo tisa muhimu kwa waratibu wa uchaguzi, wasimamizi na wasimamizi wasaidizi ngazi ya majimbo, huku ikisisitiza mandalizi yote muhimu katika vituo kukamilishwa mapema.

Category

Show more

Comments - 0