Duration 17:22

MAMA ALIYEKATWA MKONO na MUME Wake AELEZA MKASA MZIMA, Ni ZAIDI ya UKATILI - NILIONA KAMA NAKUFA

5 270 watched
0
25
Published 4 Oct 2020

MAMA ALIYEKATWA MKONO na MUME Wake AELEZA MKASA MZIMA, Ni ZAIDI ya UKATILI - "NILIONA KAMA NAKUFA" MKASA wa kusikitisha wa mama aliyekatwa mkono na mume wake umeendelea kugusa hisia za watu mbalimbali huku simulizi yake ikiwa ni ya majonzi sana. Mwanamke huyu amesema kuwa chanzo ni maneno ya watu ambapo yalimfikia mume wake na mume wake kuyaamini maneno hayo ingawa siyo ya kweli kwa mujibu wa mwanamke huyo na kumfanya mume wake kumshambulia kwa panga na kufanikiwa kuukata kabisa mkono wake.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 26