Duration 6:17

WIMBO BY INJILI FAMILY INTERNATIONAL (New)

100 252 watched
0
366
Published 2 Sep 2018

Kutoka katika Album Mpya Inayoitwa Wimbo, Hawa Ni Injili Family Katika wimbo Unaobeba jina la Album Hiyo Unaitwa WIMBO. ENDELEA KUJIPATIA NYIMBO NYINGI KUTPITIA CHANNEL YA GLORIOUS MELODY LINE KWA KUGUSA HAPA /channel/UCYNSjJBivhLT4JQiykfXTvg

Category

Show more

Comments - 46
  • @
    @bettymwanga47552 years ago Amen nyimbo zenu zinanibariki sana nawatakia mafanikio zaidi.
  • @
    @agathazacharia43693 years ago Mberikiwe sana natamani nami sikumoja niungane nanyi niimbe pamoja nanyi moyo wangu utafurahi sana.
  • @
    @alexwalter48158 months ago Mwaaa hakika wimba unamtukuza mungu mnanibariki mno.
  • @
    @muhindoedmond6465last year Vous tes des anges(envoys) de dieu. Merci pour ce ministre, que dieu vous bnisse abondamment.
  • @
    @tuyishimejean90295 years ago Wimbomuzuri sana oh mungu wangu nawakumbuka sana nilikuwa naja kanisani kwaajiliyenu birere mere eglise musalimiye sana musafiri papa calvin na maman calvin tunawapenda sana hapa usa arizona mungu aendelee kuwabariki. 1
  • @
    @eliseesangano17543 years ago Bien, mais la voix de moshenge nous manque, que dieu vous bnisse.
  • @
    @collinswanambisi80913 years ago Mungu awabariki sana na aendlee kuwainuwa sana hadi mumalize kazi aliyotuachia yesu kristo.
  • @
    @abymikeabymike97425 years ago Wimbo mzuri mungu awabariki zaidi tuimbe wote na yesu mbinguni.
  • @
    @gloriousn64254 years ago Here in 2020
    wimbo wa musa na mwanakondoo, tutaimba
    this song is underrated, mungu awabariki.
    1
  • @
    @jacobkeleman80016 years ago Kwakweli mlitubariki sana na chini ya mwamba. 3
  • @
    @christophenshimyimana56156 years ago Glory be to god! May the almighty god bless you so much as you serve him through songs. 1
  • @
    @victormwita40784 years ago Wimbo huu ni mzuri kama jina lake lilivyo, unanibariki kilahongereni injili family. 1
  • @
    @habagodfrey6455 years ago Thanks for blessing my soul through music! Watching from usa!
  • @
    @amanibwire44235 years ago Mbarikiwe sana nawapenda sana toka arusha tz.
  • @
    @anthonysulula7666 years ago Kuna wimbo wenye message " waogopa kifo kuliko kuogopa dhambi " tuleteeni huo, ujumbe wake ndio tumaini letu.
  • @
    @laizsuke82656 years ago Wimbo wa mwanakondoo hallelujah, ila audio ni tamu zaidi.
  • @
    @christinamdimi1086 years ago Amina, nabarikiwa sana na waimbaji wa injili family
    album hii inapatikana wapi?
  • @
    @tuyishimejean90295 years ago Sasa mzehe wakanisa angali papa calvin? Muniambie nduguwapenzi.