serikali imetangaza utaratibu wa wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2020 kubadilisha tahasusi (combination) za kidato cha tano na kozi za vyuo vya elimu ya ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa kieletroniki kwa uchaguzi wa kidato cha na vyuo mwaka 2021
kauli hiyo ya serikali imetolewa na waziri wa nchi ofisi ya rais-TAMISEMI seleman jafo jijini dodoma
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for HII HAPA TAARIFA MPYA KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE 2020: