Duration 1:51

TIKETI YA PEMBA - MAU MPEMBA NA MAKAME NUHUSI (ALTAMIMY)

30 201 watched
0
172
Published 3 May 2021

#MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar TIKETI YA PEMBA - MAU MPEMBA NA MAKAME NUHUSI (ALTAMIMY) Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo. Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia. Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia. +255 777 001500

Category

Show more

Comments - 18