Duration 24:11

MTO WA MIAKA 5 NICE SAWAYE AKIHUBIRI MLIMA WA MOTO MIKOCHENI B

589 457 watched
0
1.7 K
Published 13 Sep 2016

Mtoto wa miaka 5 Nice Niko Sawaye kutoka Arusha aliweza kuhubiri katika ibada ya Jumapili katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Mtoto amejaliwa kuwa na kipawa cha kujua mahesabu makubwa ya sekondari, kuongea Kiingereza fasaha bila kufundishwa, ualimu, mwanasiasa (anawajua viongozi mbalimbali wa serikali), uimbaji, mwinjilisti mkubwa (anajua Biblia kutoka Mwanzo hadi Ufunuo) anapenda watu. Msikilize. Pia tembelea www.mountainoffiretanzania.blogspot.com

Category

Show more

Comments - 189